Kaisari Kaligula
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaisari Kaligula (jina kamili kwa Kilatini: Julius Caesar Augustus Germanicus[1], Caligula likiwa jina la kupachikwa) alikuwa mtawala wa Dola la Roma toka mwaka 37 hadi 41 BK.

Mzao wa nasaba ya Julio-Klaudio, alizaliwa Anzio, (leo mkoani Lazio, Italia, tarehe 31 Agosti 12 na kuuawa tarehe 22 Januari 41.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads