Get It Poppin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Get It Poppin'" ni wimbo wa rapa Fat Joe akimshirikisha rapa wa po - Nelly na umetoka mnamo mwaka 2005. Wimbo umetolewa ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu yake ya All or Nothing, ya kwanza yake ilikuwa "So Much More," na kuthubutu kushika nafasi ya 9 katika chati za Billboard. Video yake yaonekana watu wakiwa katika kumbi ya starehe ya usiku na Nelly anaonekana wakiwa kifua wazi huku akiwa anachezacheza na Fat Joe. Waliouza sura katika video alikuwa T.I., Ying Yang Twins, Boyz N Da Hood, na Layzie Bone.
Remove ads
Chati
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads