Go-Fushimi wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Fushimi wa Japani
Remove ads

Go-Fushimi (5 Aprili, 1288 17 Mei, 1336) alikuwa mfalme mkuu wa 93 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tanehito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Fushimi. Mwaka wa 1298 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1301. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Nijo.

Thumb
Mchoro wa Go-Fushimi

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Fushimi wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads