Fushimi wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fushimi wa Japani
Remove ads

Fushimi (10 Mei, 1265 8 Oktoba, 1317) alikuwa mfalme mkuu wa 92 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hirohito, na alikuwa mwana wa pili wa Go-Fukakusa. Mwaka wa 1287 alimfuata binamu yake Go-Uda, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1298. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Fushimi.

Thumb
Mchoro wa Fushimi

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fushimi wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads