Go-Kameyama

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Kameyama
Remove ads

Go-Kameyama (takriban 1347 10 Mei 1424) alikuwa mfalme mkuu wa 99 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hironari. Mwaka wa 1383 alimfuata Chokei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Oktoba 1392. Aliyemfuata ni Go-Komatsu.

Thumb
Mchoro wa Go-Kameyama

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Kameyama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads