Go-Murakami wa Japani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Go-Murakami (takriban 1328 – 29 Machi 1368) alikuwa mfalme mkuu wa 97 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Noriyoshi, na wazazi wake walikuwa Go-Daigo na Renshi. Mwaka wa 1339 alimfuata babake Go-Daigo, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1368. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Chokei.

Angalia pia
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Murakami wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads