Go-Daigo wa Japani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Go-Daigo (26 Novemba, 1288 – 19 Septemba, 1339) alikuwa mfalme mkuu wa 96 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Takaharu, na alikuwa mwana wa pili wa Go-Uda. Mwaka wa 1318 alimfuata binamu yake Hanazono, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1339. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Murakami.

Angalia pia
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Daigo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads