Go-Reizei wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Reizei wa Japani
Remove ads

Go-Reizei (28 Agosti, 1025 22 Mei, 1068) alikuwa mfalme mkuu wa 70 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Chikahito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Go-Suzaku. Mwaka wa 1045 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Go-Sanjo.

Thumb
Ishara za mapambo (kiri) za ukoo wa Hosokawa hupatikana huko Ryōan-ji. Horikawa ni miongoni mwa watawala wengine sita waliowekwa ndani karibu na ile iliyokuwa makazi ya Hosokawa Katsumoto kabla ya Vita vya Ōnin.
Remove ads

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Reizei wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads