Go-Suzaku wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Suzaku wa Japani
Remove ads

Go-Suzaku (14 Desemba, 1009 7 Februari, 1045) alikuwa mfalme mkuu wa 69 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Atsunaga, na alikuwa mwana wa Tenno Ichijo. Mwaka wa 1036 alimfuata kaka yake, Tenno Go-Ichijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1045, siku mbili tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Go-Reizei.

Thumb
Ishara za mapambo (kiri) za ukoo wa Hosokawa hupatikana huko Ryōan-ji. Horikawa ni miongoni mwa watawala wengine sita waliowekwa ndani karibu na ile iliyokuwa makazi ya Hosokawa Katsumoto kabla ya Vita vya Ōnin.
Remove ads

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Suzaku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads