Go-Saga wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Saga wa Japani
Remove ads

Go-Saga (1 Aprili, 1220 17 Machi, 1272) alikuwa mfalme mkuu wa 88 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kunihito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Tsuchimikado. Mwaka wa 1242 alimfuata binamu yake Tenno Shijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1246. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Fukakusa.

Thumb
Mchoro wa Go-Saga

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Saga wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads