Go-Fukakusa wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Fukakusa wa Japani
Remove ads

Go-Fukakusa (28 Juni, 1243 17 Agosti, 1304) alikuwa mfalme mkuu wa 89 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hisahito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Go-Saga. Mwaka wa 1246 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1260. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake Kameyama.

Thumb
Mchoro wa Go-Fukakusa

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Fukakusa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads