Gordiani wa Roma

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gordiani wa Roma
Remove ads

Gordiani (alifariki Roma, 300 hivi) alikuwa Mkristo wa Roma ya Kale ambaye aliuawa kwa ajili ya imani yake na kuzikwa karibu na mfiadini Epimaki hivi kwamba wameheshimiwa pamoja ingawa hawakuwa pamoja maishani[1][2].

Thumb
Wat. Gordiani na Epimaki katika Nuremberg Chronicle.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Mei[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads