Grover Cleveland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Stephen Grover Cleveland (18 Machi 1837 – 24 Juni 1908) alikuwa Rais wa Marekani mara mbili, kuanzia mwaka wa 1885 hadi 1889, tena kuanzia 1893 hadi 1897. Kwanza Kaimu Rais wake alikuwa Thomas Hendricks, mara ya pili Kaimu Rais alikuwa Adlai Stevenson.
Remove ads
Tazamia pia
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Grover Cleveland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads