Hafsa Kazinja
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hafsa Kazinja ni mwanamuziki wa muziki aina ya Zouk kutoka nchini Tanzania. Anafamika zaidi kwa kibao chake mashuhuri cha Presha, vilevile na Mashallah. Hafsa anatoka katika kikundi cha THT (yaani Tanzania House of Talent) cha mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads