Haki za kiraia na kisiasa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Haki za kiraia na kisiasa ni aina ya haki zinazolinda uhuru wa watu dhidi ya kuingiliwa na serikali, mashirika ya kijamii na watu binafsi. Pia kuhakikisha haki ya mtu kushiriki katika maisha ya kiraia na kisiasa ya jamii na serikali.[1]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads