Havok
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Havok (Kiswahili: Uangamizi; Alexander "Alex" Summers ) ni supa-shujaa wa ulimwengu wa Marvel Comics, mwanachama wa X-Men na ndugu wa Cyclops. Havok ana uwezo wa ajabu wa kufyonza nishati ya ulimwengu ili kupiga mionzi ya utegili kutoka mikono yake.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Havok kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads