Heather Payne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Heather Margaret Payne (alizaliwa 26 Januari 2000 [1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ireland ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya Everton inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland.[2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads