Heinrich Theodor Böll (21 Desemba 1917 – 16 Julai 1985 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani . Hasa aliandika riwaya . Mwaka wa 1972 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi .
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu Heinrich Böll kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Heinrich Böll
binadamu Jinsia mume Nchi ya uraia Ujerumani Jina katika lugha mama Heinrich Böll Jina halisi Heinrich , Theodor Jina la familia Böll Tarehe ya kuzaliwa 21 Desemba 1917 Mahali alipozaliwa Köln Tarehe ya kifo 16 Julai 1985 Mahali alipofariki Langenbroich Sehemu ya kuzikwa Q28036176 Mwenzi Annemarie Böll Mtoto René Böll , Raimund Böll Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi Kijerumani Writing language Kijerumani Taaluma fiction , creative and professional writing , radio drama , Kutafsiri Nafasi ilioshikiliwa chairperson Alisoma Chuo Kikuu cha Köln Eneo la kazi Köln Dini Kanisa Katoliki Mgogoro Vita Kuu ya Pili ya Dunia Kumbukumbu katika Historisches Archiv mit Rheinischem Bildarchiv , Lilly Library Documentation files at SAPA Foundation, Swiss Archive of the Performing Arts
Funga
Sanamu ya Heinrich Böll katika mji wa Berlin