Henry Fonda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Henry Fonda
Remove ads

Henry Jaynes Fonda (16 Mei 190512 Agosti 1982) alikuwa mshindi wa tuzo ya Oscars (Academy Awards) kama muigizaji bora wa filamu za kimarekani. Fonda anafahamika zaidi kwa kucheza filamu za western maarufu kama Spaghetti Western.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads

Maisha Binafsi

Henry Fonda alioa mara tano. Kwa mara ya kwanza alimuoa Margaret Sullavan mnamo mwaka 1931 hawakukaa muda mwingi wakatengana, kisha talaka rasmi ikawa mwaka 1933. Mnamo mwaka 1936, Fonda akamuoa Frances Ford Seymour, wakazaa watoto wawili, ambaye ni Peter Fonda na Jane Fonda.

Mnamo mwaka 1950, mke wa Fonda ambaye ni Seymour mama yao na kina Peter alijiua, ndipo Fonda akaamua kuoa mke mwingine aliyejulikana kwa jina la Susan Blanchard, aliyekuwa mtoto wa kufikia wa mzee Oscar Hammerstein II, hiyo ilikuwa mnamo mwaka 1950.

Fonda na Susan walimlea mtoto Amy (aliyezaliwa 1953), lakini kwa bahati mbaya walitalikiana miaka mitatu mbele. Mnamo mwaka 1957 Fonda akamuoa kabaila wa kiitalia Afdera Franchetti. Walibaki kuwa wanandoa mpaka mwaka 1961 ambako ndio ilikuwa mwisho wa Franchetti kuwa na mume aitwaye Fonda.

Fonda hakukaa sana akaja kumwoa Shirlee Mae Adams, alikaa na Adams mpaka kifo chake kilivyofika, mnamo mwaka 1982.

Remove ads

Filamu Aliziigiza Henry Fonda

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...
Remove ads

Tuzo Alizopata

Mwaka Tuzo Kazi
Academy Awards
Kushinda:
1981 Muigizaji Bora On Golden Pond
1981 Honorary Award Lifetime Achievement
Kuteuliwa:
1957 Picha Bora 12 Angry Men
1941 Muigizaji Bora The Grapes of Wrath
BAFTA Awards
Kushinda:
1958 Muigizaji Bora 12 Angry Men
Kuteuliwa:
1982 Muigizaji On Golden Pond
Emmy Awards
Kuteuliwa:
1980 Outstanding Lead Actor in a Miniseries or Movie Gideon's Trumpet
1973 Outstanding Lead Actor in a Miniseries or Movie The Red Pony
Golden Globes
Won:
1982 Best Motion Picture Actor - Drama On Golden Pond
1980 Cecil B. DeMille Award Lifetime Achievement
Kuteuliwa:
1958 Best Motion Picture Actor - Drama 12 Angry Men
Tony Awards
Won:
1979 Special Award Lifetime Achievement
1948 Muigizaji Bora Mister Roberts
Kuteuliwa:
1975 Muigizaji Bora Clarence Darrow

Ona Pia

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Fonda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads