Nebraska

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nebraska
Remove ads

Nebraska ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katikati ya Marekani bara ikipakana na majimbo ya South Dakota, Iowa, Missouri, Kansas, Colorado na Wyoming.

Thumb
Nebraska


Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Remove ads

Mji mkuu ni Lincoln na mji mkubwa jimboni ni Omaha. Jimbo lina wakazi 1,711,263 (2000) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 200,520.

Nebraska ni hasa jimbo la kilimo cha mahindi pamoja na ufugaji wa ng'ombe.

Hali ya hewa ni majira ya joto na baridi kali. Wakati wa Julai/Agosti halijoto hufikia +30°C inayoshuka hadi -20 °C wakati wa Januari.

Eneo la Nebraska lilitwaliwa na Marekani mwaka 1854. Baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani eneo likapewa cheo cha jimbo kamili.

Ukweli wa haraka


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nebraska kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads