Heraklemon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Heraklemon ni kati ya Wakristo wa Ethiopia ya leo walioishi vizuri imani yao utawani.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads