Herman Wouk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Herman Wouk (amezaliwa 27 Mei 1915) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa riwaya zake zinazoeleza hali ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Caine Mutiny.
![]() |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Herman Wouk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads