Hilary Duff
Mwigizaji na mwimbaji wa Amerika From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hilary Erhard Duff (alizaliwa Septemba 28, 1987) ni mwigizaji wa Marekani, mwimbaji, na mtunzi wa nyimbo.
Amepokea tuzo mbalimbali kama vile Nickelodeon Kids' Choice Awards, Teen Choice Awards na Young Artist Awards. Pia alianza kazi yake ya uigizaji akiwa na umri mdogo, ambapo alipewa jina la teen idol, kama mhusika mkuu katika filamu mbalimbali kwenye televisheni.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads