28 Septemba

tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tarehe 28 Septemba ni siku ya 271 ya mwaka (ya 272 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 94.

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wenseslaus I, Laurenti Ruiz na wenzake, Alfeo, Aleksanda na Zosimo, Karitoni wa Souka, Zama wa Bologna, Esuperi wa Toulouse, Eustokya wa Roma, Saloni wa Geneva, Fausto wa Riez, Anemondi, Kunialdi na Gisilari, Lioba, Simoni wa Rojas n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 28 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads