Himaya (biolojia)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Himaya (kwa Kiingereza: Kingdom) ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi.

Himaya ni migawanyiko ya domeni, halafu kila himaya imegawanyika katika faila kadhaa.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads