Hiro Nakamura

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Hiro Nakamura (中村 広 Nakamura Hiro?) ni jina kutaja uhusikai wa tamthilia ya Heroes inayorushwa hewani na televisheni ya NBC. Muhusika huyu na uwezo wa kuchezea wakati. Hii ina maana ya kwamba Hiro ana uwezo wa kubadili mtiririko wa muda. Awali, uwezo wake ulimruhusu aweze kwenda mahali popote atakapo, kusimamisha wakati, au kusafiri kupitia wakati, lakini matukio ya hivi karibuni ya mfululizo yamezuia kupata nguvu zake kama awali. Uhusika huu umechezwa na mwigizaji filamu wa Kijapani-Kiamerika Masi Oka.

Ukweli wa haraka Mwonekano wa kwanza, Mwonekano wa mwisho ...

Kulingana na kitabu cha vichekesho cha mtandao kupitia NBC.com, Hiro amepatiwa jina baada ya Hiroshima, hivyo basi daima familia itakumbuka shambulio la bomu la atomiki la Hiroshima na Nagasaki. Tim Kring amenukuliwa akisema, "Si kama bahati kumwita jina la Hiro... hakika yu katika safari ya kishujaa."[1] Mwenzake katika safari ya kishujaa ni Ando.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads