Hollywood, California
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hollywood ni mtaa wa mji wa Los Angeles katika jimbo la California la Marekani. Mtaa huu umekuwa maarufu duniani kama mahali pa kutengenezwa kwa filamu nyingi. Ni kitovu cha filamu Marekani penye makampuni mengi kama vile Universal Studios und Warner Brothers.
- Tazama pia Hollywood, Florida

Waigizaji wengi wa filamu huishi katika mazingira ya Hollywood.
Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hollywood, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads