Houston Rockets

Timu ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) kutokea Houston, Texas From Wikipedia, the free encyclopedia

Houston Rockets
Remove ads

Houston Rockets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Houston, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na James Harden, Russell Westbrook.

Thumb
Timu ya Houston Rockets

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Houston Rockets kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads