Hulk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hulk (alizaliwa 25 Julai 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Brazil.

Hulk ameichezea timu ya taifa ya Brazil tangu mwaka wa 2009. Hulk alicheza Brazil katika mechi 48, akifunga mabao 11.[1]
Takwimu
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads