Huntsville, Alabama
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Huntsville ni mji wa Marekani katika jimbo la Alabama. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 400,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 193 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Remove ads
Wenyeji mashuhuri wa mjini hapa
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Huntsville, Alabama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads