I Wayne
mwimbaji wa Jamaika From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
I Wayne (jina la kisanii la Cliffroy Taylor; alizaliwa Portmore, Jamaika, [[6 Agosti] 1980) ni mwimbaji wa roots reggae.

Anajulikana kwa nyimbo zake maarufu Living In Love na Can't Satisfy Her kutoka kwenye albamu yake ya kwanza, Lava Ground.[1][2][3]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads