Ibtissam Lachgar
Mwanaharakati wa wanawake wa Moroko na haki za binadamu From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ibtissam Betty Lachgar pia inaandikwa Ibtissame [1] (kiarabu: ابتسام لشكر) (alizaliwa agosti, 1975) ni mwanamaendeleo ya saikolojia[2] nchini Moroko wa haki za binadamu na wakili wa LGBT. Ni miongoni mwa waanzilishi wa harakati za MALI (Mouvement alternatif pour les libertés individuelles). Yeye ni moja kati ya watu wa Moroko wasioamini kwamba kuna Mungu.
Remove ads
Marejeo.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads