Igawilo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Igawilo ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Iko jirani na Uyole kando ya barabara inayopanda Uporoto kuelekea Tukuyu na Malawi.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 25,004 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,300 [2] walioishi humo.
Wakazi wengi wa sehemu hii ni wakulima wa mazao ya chakula pamoja na bustani. Kuna shule ya sekondari ijulikanayo kama Igawilo.
Baadhi ya mamwene au machifu wa Kisafwa walioishi katika eneo hili ni: Mwene Male Mwashinga na Mwene Paul Mwashinga.
Msimbo wa posta ni 53106.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads