Ike Nwala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ike Nwala (アイクぬわら, amezaliwa Brooklyn, New York City, 3 Juni 1986) ni mchekeshaji na mwimbaji kutoka Marekani.
Maisha yake
Wakati Ike aliongozwa na programu ya televisheni ya Kijapani, aliamua kuwa mchekeshaji na kwenda Japani[1].
Hivi sasa anafanya kazi kama mshiriki wa kikundi kinachoitwa Choshinjuku[2].
Filmografia
- Yo-kai Watch: Soratobu Kujira to Double no Sekai no Daibōken da Nyan!
- Yo-kai Watch Shadowside: Oni-ō no Fukkatsu (2017)
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads