Wilaya ya Ileje

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wilaya ya Ileje
Remove ads

Wilaya ya Ileje ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Songwe; hadi 2016 ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.

Thumb
Mahali pa Ileje (kijani) katika mkoa wa Mbeya.

Wilaya hii imepakana na nchi ya Malawi na inatenganishwa nayo na mto Songwe.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 124,450 . Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 125,869 [1].

Wenyeji wa Ileje ni wenye asili ya makabila matatu, yaani Wandali, Walambya na Wamalila (Ibaba, Itale).

Kama ilivyo kwa mkoa mzima, Ileje kuna wafuasi wengi wa dini ya Ukristo na wachache wa Uislamu.

Remove ads

Utawala

Wilaya hii ina kata zifuatazo:

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads