Inde (Megathyrsus maximus) ni aina ya nyasi refu inayoishi miaka mingi. Nyasi hili hutumika kwa kulisha wanyama.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Inde (Megathyrsus maximus) |

Inde |
| Uainishaji wa kisayansi |
| Himaya: |
Plantae (Mimea)
|
| (bila tabaka): |
Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
|
| (bila tabaka): |
Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
|
| (bila tabaka): |
Commelinids (Mimea kama jaja)
|
| Oda: |
Poales (Mimea kama manyasi)
|
| Familia: |
Poaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
|
| Nusufamilia: |
Panicoideae
|
| Jenasi: |
Megathyrsus
|
| Spishi: |
M. maximus (Jacq.) B.K.Simon & S.W.L.Jacobs, 2003 |
| Visawe: |
Panicum maximum
|
|
Funga