Indeed
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Indeed ni tovuti ya kutafuta kazi iliyoanzishwa mnamo Novemba 2004. Ni kampuni tanzu ya kampuni ya Japani ya Recruit Co. Ltd. yenye makao makuu Austin, Texas na Stamford, Connecticut na ofisi nyingine katika nchi kadhaa duniani.[1]

Indeed hivi sana inapatikana kwenye nchi 60 duniani na kwa lugha 28. Mnamo Oktoba 2010, Indeed.com iliipiku Monster.com na kuwa tovuti yenye watumiaji wengi zaidi nchini Marekani.[2]
Tovuti hii inakusanya nafasi za kazi toka kwenye maelfu ya tovuti. Mwaka 2011, Indeed ilianza kuruhusu waomba kazi kutuma maombi moja kwa moja kwenye tovuti yake [3] na pia kuhifadhi maelezo binafsi ya waomba kazi.[4]
Remove ads
Historia
Indeed ilianzishwa na Paul Forster na Rony Kahan mwaka 2004 huko Austin, Texas na Stamford, Connecticut.[5] The Stamford offices house the company's sales, client services, finance and human resources teams while the product development staff is based in Austin.[1]
Indeed ilianza kupata faida mwaka 2007. Ukuaji wa pato lake ulitokana na kazi nzuri ya mauzo iliyoongozwa na Christopher Campbell na Brendan Cruickshank.[6]
Tarehe 1 Oktoba 2012 Indeed ilikuwa kitengo kinachojitemea cha kampuni ya Recruit Co. Ltd.[7]
Tarehe 1 Julai 2018 Recruit Holdings Co., Ltd. ilitangaza kununua mshindani wa Indeed, Simply Hired.[8]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads