Ingrid Jonker
Mshairi wa Afrika Kusini mwenye lugha mbili na mpinzani wa kisiasa From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ingrid Jonker (19 Septemba 1933 - 19 Julai 1965) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika mashairi kwa lugha ya Kiafrikaans. Alijiua kwa kuingia na kuzama baharini.
Maandishi yake
- Rook en oker (= Moshi na ngeu, 1963)
- Kantelson (= Jua lililopinduliwa, 1966 baada ya kifo chake)
Angalia pia
Marejeo
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ingrid Jonker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads