19 Julai
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 19 Julai ni siku ya 200 ya mwaka (ya 201 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 165.
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 711 - Waarabu wanashinda jeshi la Wagoti wa Magharibi na kuangusha dola la Wagoti nchini Hispania
Waliozaliwa
- 1419 - Go-Hanazono, mfalme mkuu wa Japani (1428-1464)
- 1921 - Rosalyn Yalow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1977
- 1922 - George McGovern, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1967 - Yael Abecassis, mwigizaji wa filamu kutoka Israeli
- 1976 - Diether Ocampo, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
- 1988 - Shane Dawson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1988 - Ayo Yusuf, mwimbaji kutoka Nigeria
Waliofariki
- 379 - Mtakatifu Makrina Mdogo, bikira mmonaki kutoka Kapadokia (Uturuki wa leo)
- 514 - Mtakatifu Papa Simako
- 1965 - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Epafra, Masedoni, Teoduli na Tasiani, Makrina Mdogo, Dio Mtendamiujiza, Papa Simako, Aurea wa Cordoba, Bernodi, Yohane Plessington, Yohane Mbatizaji Zhou Wurui, Elizabeti Qin Bianzhi n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads