Internet Archive

From Wikipedia, the free encyclopedia

Internet Archive
Remove ads
Remove ads

Internet Archive ni shirika lisilotafuta faida linalojenga kumbukumbu ya kidijiti kwenye intaneti inayopatikana kwa kila mtu bila malipo.

Thumb
Makao makuu ya Internet Archive huko San Fransisco.

Makao makuu ya shirika yapo San Francisco, Kalifornia (Marekani).

Lilianzishwa mwaka 1996 na Brewster Kahle kwa shabaha ya kutunza yaliyomo ya intaneti kwa kuhifadhi picha za tovuti nyingi. Kwa hiyo inawezekana kuangalia picha za tovuti ambazo zimeshabadilishwa tena mara kadhaa.

Tangu mwaka 1999 hifadhi nyingine zimeongezwa. Sasa kuna vitengo vya video, filamu, picha na vitabu.

Kitengo maalumu cha IA ni maktaba ya "Open Library(Maktaba Huria)". Vitabu visivyo tena na hakimiliki vinapigwa picha kila ukurasa kwa njia ya scanner na kuwekwa kwenye intaneti katika fomati mbalimbali.

Thumb
Mashine ya scanner inayopiga picha za kurasa za vitabu
Remove ads

Marejeo

Loading content...

Viungo vya Nje

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads