Isaac Bashevis Singer

From Wikipedia, the free encyclopedia

Isaac Bashevis Singer
Remove ads

Isaac Bashevis Singer (14 Julai 190224 Julai 1991) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Polandi ambapo alizaliwa na jina Yitskhek Bashyevis Zinger . Mwaka wa 1935 alihamia Marekani. Hasa aliandika riwaya na insha kuhusu maisha ya Wayahudi katika karne ya 20. Aliziandika katika lugha ya Kiyiddish. Mwaka wa 1978 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Bashevis Singer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Bashevis Singer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka Amekufa, Nchi ...
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads