Ivuna

Kata ya Mkoa wa Mbeya, Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Ivuna ni kata ya Wilaya ya Momba katika Mkoa wa Songwe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 53907.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 26,793 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 31,254 [2] walioishi humo.

Jina la Ivuna linajulikana kimataifa hasa kutokana na Kimondo cha Ivuna ambacho ni jiwe kubwa la kilogramu 0.7 lililoanguka hapa kwenye Disemba ya mwaka 1938, likiwa ni mfano haba sana wa vimondo vilivyoundwa kwenye anga-nje wakati wa kutokea kwa mfumo wa Jua, kwa hiyo hutazamwa kuwa na umri mkubwa kushinda Dunia[3]

Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads