Iyunga

kata ya Mbeya, Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Iyunga ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 23,954 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,026 [2] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 53117.

Iyunga kuna kituo cha reli ya TAZARA cha Mbeya. Kituo kilijengwa na Wachina walijenga njia hii ya reli.

Karibu nacho iko shule ya sekondari ya kiserikali ya Iyunga Sekondari ambayo ni shule ya mabweni ya kusomesha wavulana tu hadi Form VI, Iliwahi kuanzishwa 1942 wakati wa ukoloni kwa jina la Mbeya School kwa wavulana Waingereza.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads