Jah Cure
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jah Cure au Iyah Cure (alizaliwa Hanover, Jamaika, 11 Oktoba 1978) ni mwanamuziki wa reggae kutoka Jamaika. Alikulia Kingston, akapewa jina Jah Cure na Capleton.[1][2]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads