Jamal Kassim Ali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jamal Kassim Ali (amezaliwa 14 Novemba 1984) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Magomeni kwa miaka 2015 – 2020. Amechaguliwa kuwa waziri wa nchi ofisi ya rais fedha na mipango Zanzibar mnamo Novemba 2020.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads