14 Novemba
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 14 Novemba ni siku ya 318 ya mwaka (ya 319 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 47.
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1861 - Frederick Jackson Turner, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1891 - Frederick Banting, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923
- 1896 - Mamie Eisenhower, mke wa Dwight D. Eisenhower, Rais wa Marekani (1953-1961)
- 1922 - Boutros Boutros-Ghali, mwanasiasa wa Misri, na Katibu Mkuu wa UM, wa kwanza kutoka bara la Afrika (1992-1996)
- 1964 - Patrick Warburton, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1972 - Josh Duhamel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1973 - Dana Snyder, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1983 - Lil Boosie, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1985 - Thomas Vermaelen, mchezaji mpira wa Ubelgiji
Remove ads
Waliofariki
- 1391 - Watakatifu Nikola Tavelic na wenzake, O.F.M., mapadri wamisionari na wafiadini mjini Yerusalemu
- 1716 - Gottfried Leibniz, mwanafalsafa wa Ujerumani
- 1955 - Robert Sherwood, mwandishi Mmarekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Theodoto wa Marmara, Ipasi wa Gangra, Rufo wa Avignon, Dubrisi, Yohane wa Trogir, Lorcán Ua Tuathail, Siardi, Serapioni Scott, Nikola Tavelic na wenzake, Stefano Theodori Cuenot n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads