Jasmine Matthews
Mchezaji wa mpira wa miguu From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jasmine Matthews (alizaliwa 24 Machi 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama beki wa Liverpool katika Ligi Kuu ya Wanawake ya FA (WSL) [2]. Hapo awali ameichezea Liverpool na kuiwakilisha Uingereza katika mashindano ya wenye umri chini ya miaka 17 [3], 19 na chini ya miaka 23.[4]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads