Jean-Auguste-Dominique Ingres
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jean-Auguste-Dominique Ingres (29 Agosti 1780 - 14 Januari 1867) alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa. Pia alikuwa profesa wa sanaa katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris. Yeye ilipatiwa tuzo la Medali ya Heshima (Légion d'honneur) na alikuwa ni mwanachama wa Taasisi ya Ufaransa (Institut de France).



Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads