Jean-Claude Turcotte
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jean-Claude Turcotte (26 Juni 1936 – 8 Aprili 2015) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki la Kanada.
Alikuwa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Montreal kutoka 1990 hadi 2012.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads