Jean Grey

Muhusika wa kufikirika katika filamu na vitabu vya Marvels From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads


Jean Grey ni supa-shujaa wa ulimwengu wa Marvel Comics. Anajulikana kama Marvel Girl (Kiswahili: Msichana-Ajabu) na baadaye kama Phoenix (Finiksi) na Dark Phoenix (Finiksi wa Giza) na alikuwa mmoja wa wanachama wa asili wa X-Men. Jean Grey ni mutanti mwenye uwezo wa telepathi na telekinesi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Grey kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka Maelezo ya chapisho, Mchapishaji ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads